Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
*NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM
*KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
* KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na baadhi ya waandishi wa
habari watakaoungana na Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana, katika
ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara itakayoanza
kesho katika jimbo la Igunga mkoani Tabora. Nape alipigapicha na na
waandishi hao leo baada ya kuzungumza nao kuhusu ziara hiyo, katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba , Dar eSalaam. Kulia
na kushoto ni baadhi ya magari maalum yatakayotumiwa na waandishi hao.
0 comments:
Post a Comment