Home » » KUTOA NI MOYO, MTOTO HUYU MWENYE MATESO MAKALI SANA ANAHITAJI MSAADA WAKO AKATIBIWE, MCHANGIE SASA

KUTOA NI MOYO, MTOTO HUYU MWENYE MATESO MAKALI SANA ANAHITAJI MSAADA WAKO AKATIBIWE, MCHANGIE SASA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Mtoto AMISA MALEBHI(miaka 2 na miezi sita)ambaye ana matatizo ya jicho la kushoto anahitaji msaada wa kupelekwa hospitali ya KCMC Moshi kwa ajili ya matibabu kwa atakayeguswa anaweza kuwasiliana na mama yake mzazi TAUSI HAMISI mkazi wa Ufuluma wilaya ya Uyui mkoani Tabora....Mtoto huyu imeelezwa kuwa endapo atacheleweshwa kupatiwa msaada anaweza kupata Saratani ya Jicho,...KWA HALI NA MALI FANIKISHA MATIBABU YA MTOTO HUYU AMBAYE ANAHITAJI FURAHA KAMA WALIVYO WATOTO WENGINE.
Mama wa mtoto huyo Bi.TAUSI HAMISI akiwa barabarani katika kutafuta msaada wa matibabu ya mtoto wake huku baba wa mtoto huyo AMISA alifariki dunia miezi michache iliyopita baada ya kupata ajali ya pikipiki.
NAOMBENI MSAADA WA MATIBABU

MAWASILIANO HAYA HAPA - 0783 303436

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa