Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli na
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri
wakiondoa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono - Urambo
yenye urefu wa kilometa 94 iliyojengwa
kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono - Urambo yenye urefu wa kilometa 94 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora |
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Wananchi wa Kariua Mkoani
Tabora wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa
kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Wananchi wa Kariua na Viunga vyake Wakimsikiliza
Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiwahutubia wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa
yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora Mhe
Rais yupo mkoani humo
Wananchi wa Mji wa Urambo na Viunga vyake
Wakimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Joseph Magufuli akiwahutubia wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Tabora
Ndono - Urambo yenye urefu wa kilometa
94 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,akiwapungia
Mikono kwa Kuwasalimia Wananchi wa Kariua na Viunga vyake Walio jitokeza
kumsikimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Joseph Magufuli wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa
yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Wananchi wa Urambo Mkoani
Tabora wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya ya Tabora Ndono - Urambo yenye urefu
wa kilometa 94 iliyojengwa kwa kiwango
cha lami Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimpa
pole Mama Mzazi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Marehemu Samweli John
Sitta.
Picha zote na IKULU
0 comments:
Post a Comment