Home »
» Kutoka Igunga Kwenda Tabora, Ni Jehanamu Ndogo
Kutoka Igunga Kwenda Tabora, Ni Jehanamu Ndogo
Basi la Mabruck linavyoonekana ndani
Basi hili licha ya kuwa bovu na linasimama kila kama saa moja kurekebishwa na hapo hukaa saa nzima.kutoka igunga hadi Tabora wakati mwingine kwa basi hili huchukua siku nzima
0 comments:
Post a Comment