Home »
» MTOTO WA MIAKA MINNE APOTEZA MAISHA BAADA YA KUDUMBUKIA CHOONI
MTOTO WA MIAKA MINNE APOTEZA MAISHA BAADA YA KUDUMBUKIA CHOONI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Chanzo Vijimambo Blog
|
Mwili
wa mtoto John Mwapwani aliyefariki majira ya asubuhi baada ya
kudumbukia kwenye tundu la choo nyumbani kwao kata ya Chemchem eneo la
Aly Hassan Mwinyi mtaa wa Sikanda Manispaa ya Tabora.Maelezo ya
awali,mtoto huyo mara baada ya kuamka asubuhi baba yake mzazi alimwambia
aende chooni kujisaidia kama ilivyo ada kwa wazazi wafanyavyo kwa
watoto wao,Mtoto John(4)alikwenda chooni na kimya cha muda mrefu baadaye
baba yake alimfuata na kukuta mwili wake ukielea kwenye maji machafu
akiwa tayari amepoteza maisha. | | |
0 comments:
Post a Comment