Home » » Zitto Kabwe aongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo

Zitto Kabwe aongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Urambo.  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
 Wanachama wakimsikiliza kiongozi wao Mkuu.
 Wanachama wakimsikiliza Kionozi wao Mkuu kwa umakini mkubwa.
 Katibu Kata Urambo Kati, Mkulila Shabani akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo
 Mwenyeti Kata ya Kiloleni Tarafa ya  Usoke, Wilaya ya Urambo Kati, Juma Kamagi akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo hayo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa