Home » » Mpya kabisa tazama hapa kwa mara ya kwanza Sampuli ya Vitambaa kjamii ya Kanga na Vitenge kwa ajili ya Vazi la Taifa

Mpya kabisa tazama hapa kwa mara ya kwanza Sampuli ya Vitambaa kjamii ya Kanga na Vitenge kwa ajili ya Vazi la Taifa

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Vitambaa vya Kanga vilivyopendekezwa kwa ajili ya kutumika kama Vazi la Taifa.

Vitambaa aina ya Vitenge vilivyopendekezwa kwa ajili yaVazi la Taifa


Imetolewa na 
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa