Home » » Katibu Mkuu Wizara ya Afya atembelea chuo cha maendeleo ya wananchi kilichopo mkoani Tabora.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya atembelea chuo cha maendeleo ya wananchi kilichopo mkoani Tabora.

g1 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Chuo cha Maendeleo ya Wananchi kilichopo Nzega Mkoani Tabora.
g2 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia chumba kwa ajili ya mafunzo ya Komputa alipotembelea Chuo cha Maendeleo ya Wananchi kilichopo Nzega Mkoani Tabora.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Bw. Bw. Eustaki Shirima na Kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Ununuzi na Ugavi kutoka Wizara hiyo Bw. Richard Mallya.
g3 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia karakana inayotumika kwa mafunzo katika chuo hicho, Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Bw. Eustaki Shirima.
g4 
Jengo la Karakana katika chuo hicho.
g5 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akiongea na watumishi katika chuo hicho mapema leo alipotembelea kuona utendaji chuoni hapo.
g6 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akijadiliana jambo na Mkurugenzi Idara ya Ununuzi na Ugavi kutoka Wizara hiyo Bw. Richard Mallya (katikati) na Mkuu wa Chuo cha  Maendeleo ya Wananchi Bw. Eustaki Shirima kilichopo Nzega Mkoani Tabora alipokitembelea chuo hicho mapema leo.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa