Maua Sama na Nandy wakiimba kwa pamoja katika usiku wa Tigo Fiesta mkoani Tabora mwishoni wa wiki hii |
Msanii wa Bongo fleva AMADAI akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta Mkoani Tabora |
JUX na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja "NAKUCHANA" katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ally Hassan mkoani Tabora |
Mkali wa HipHop Niki wa pili akishambulia jukwaaa la Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema wiki hii katika uwanja wa Ally Hassan |
Nuh Mziwanda akiimba kwa hisia nyimbo yake ya Jike shupa katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema ijumaa hii |
0 comments:
Post a Comment