Pichani ni aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Igunga Mh. Dk. Dalaly Peter Kafumu (mwenye skafu) akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama (mwenye miwani). (Picha na Maktaba)
Hukumu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na Wakazi wa Jimbo la Igunga imetolewa leo na Mahakama Kuu Kanda ya Tabora ambapo imemuengua mbunge wa Jimbo hilo kupitia tiketi ya CCM Dk. Dalaly Peter Kafumu.
Hukumu hiyo imetolewa kufuatia kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na aliyekuwa akigombania nafasi hiyo ya Ubunge kupitia chama cha CHADEMA Joseph Kashindye.
Hukumu hiyo inaendeleza wimbi la chama tawala CCM kupoteza majimbona kuweka alama katika Demokrasia ya Tanzania huku Wananchi wakijiuliza tunatoka wapi tunakwenda wapi.
Chanzo: Moblog
0 comments:
Post a Comment