Kaimu
Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Mayingu akitoa taarifa ya
miradi ya ujenzi ya mfuko huo kwa Kamati ya Uchumi na Fedha ya Bunge
wakati kamati hiyo ilipotembelea nyumba za kuuzia wanachama zilizoko
Buyuni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Makamu
mwenyekiti wa kamati ya Bunge uchumi na fedha, Habib Mnyaa (MB)
Kanyageni, akitoa maelekezo kwa menejimenti ya PSPF baada ya kutembelea
nyumba za shirika hilo.
Moja ya nyumba zinazouzwa kwa bei nafuu
Makamu
mwenyekiti wa kamati ya Bunge fedha na uchumi, Habib Mnyaa
(MB) Kanyageni (katikati), Mwenyekiti wa bodi ya PSPF,
ambaye pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Goerge Yambesi (wa nne kutoka kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa mfuko wa
pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (wa tano kutoka kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe
wa kamati hiyo na menejiment ya PSPF
Makamu
mwenyekiti wa kamati ya uchumi na fedha ya bunge, Habib Mnyaa (MB)
Kanyageni (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti wa bodi ya PSPF, ambaye
pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Goerge
Yambesi.
Mhandisi wa PSPF, Temba Msemo
Naibu
Kamishina Mkuu wa Kitendo cha Maendeleo na Logistiki Jeshi la Polisi
DCP Sospeter Kondela akitoa maelezo ya mradi wa nyumba za makazi ya
polisi Kilwa kwa kamati ya uchumi na fedha ya bunge na menejiment ya
PSPF.
Ujenzi wa ghorofa la PSPF litakalokuwa na ghorofa 32.
Ghorofa
Kaimu
Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu akionyesha jengo la ghorofa 'PSPF
Commercial Complex' litakavyokuwa baada ya ujenzi kukamilika, kulia ni
Meneja wa Alhatimy Design, Ghazi Al Shamali.
0 comments:
Post a Comment