Home » » MKUU WA WILAYA WA URAMBO ANNA MAGOHA AMEFARIKI DUNIA.

MKUU WA WILAYA WA URAMBO ANNA MAGOHA AMEFARIKI DUNIA.


Bi_Anna_Magoha_98785.jpg
Mkuu wa wilaya ya Urambo Bi.Anna Magoha wakati akisoma hotuba kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Tabora katika sherehe za Mei Mosi Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mwaka jana
Serikali ya rais Jakaya Kikwete imepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Urambo Bi Anna Magoha kufariki dunia dakika chache jioni hii.
Kwa taarifa za kuamikika kutoka kwa rafiki wa karibu mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Moto kabati (CCM) ambazo mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com umezipata zinadai kuwa mkuu huyo wa wilaya amefariki jioni hii akiwa njiani kukimbiza Hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Marehemu alikuwa ni mkazi wailaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa