Home » » MWILI WA MAREHEMU NYAWANA FUNDIKIRA WASAFIRISHWA KULEKEA TABORA KWA MAZISHI.

MWILI WA MAREHEMU NYAWANA FUNDIKIRA WASAFIRISHWA KULEKEA TABORA KWA MAZISHI.



Msanii wa kundi la taarabu la mashauzi classic Thabit Abdul akiwa amebeba jeneza la mwili wa marehemu msanii Nyawana Fundikira pamoja na wahusika wengine kwa ajili ya kupeleka kwenye gari iliyomsafirisha kwenda Tabora kwa ajili ya maziko

Mwili wa Aliyekuwa msanii wa kundi la taarabu la Tanzania Morden Taarabu T moto Nyawana Fundikira ukingizwa kwenye gari kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao Tabora
Mume wa marehemu Nyawana Fundikira Kais Mussa Kais akihojiwa na Mwanne Athumani waEATV
Baadhi ya marafiki wa kais Mussa kaisi wariohudhuria msiba huo kutoka kushoto ni Robert Kiatu, Mohamed Ngusura, Benny Mtwanga, Rama Makoa wazee wa USAMA CAMP UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO
Marafiki wa Kais Mussa kais wakipiga stori mbili tatu wakati wa kusafirisha mwili wa marehemu Nyawana Fundikira

Baadhi ya waandishi wa habari wakichukuwa matukio mbalimbali 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa