Tshs. Milioni 5 Kushindaniwa
Kama
 unamfahamu mkulima yeyote mwanamke, mtanzania, mwenye umri wa miaka 18 
na zaidi, anayelima mazao ya chakula, huu ni wakati wako sasa wa kumpa 
zawadi ya kufungia mwaka.
Kampeni
 ya Grow inayoendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam kupitia balozi 
wake Shamim Mwasha (Blogger 8020fashions) inatoa zawadi ya vifaa vya 
kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 pamoja na nafasi ya ushiriki 
katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2013 litakalofanyika sambamba 
na Maisha Plus.
Mpendekeze ashinde sasa kwa kubofya hapa na kujaza nafasi zote   surveymonkey.com/s/growtanzania
Zimebaki siku tatu tu kabla ya shindano kufungwa. Usikubali nafasi hii ikupite. 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment