Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mbali
na hilo ,Mwigulu Nchemba ameendelea kusisitiza Uchaguzi wa Amani na
Upendo kwa vyama vyote,Amewasihi Wananchi wajitokeze kupiga Kura
ilikuwachagua Madiwani,Mbunge na Rais wa Chama cha Mapinduzi wenye Ilani
inayotekelezeka.
Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sikonge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Said
Nkumba aliyekuwa Mbunge wa sikonge akimnadi Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo
la sikonge kuuonesha wazi Umma kuwa CCM kwa Sikonge ni Moja.
Vijana
wa kazi wa Chama Chama Mapinduzi Ndg.Mwigulu Nchemba na Hamis
Kigwangalla wakionesha Umahili wao wa kupiga Push-Up kabla ya Kuanza kwa
Mkutano wa hadhara Jimbo la Sikonge hii leo Mkoani Tabora.
CCM na Vijana wake wa kazi wakiwa na kofia za Kijamaa.
Mwigulu
Nchemba akiagana na Wananchi wa Jimbo la Sikonge waliofurika kusikiliza
sera za Chama cha Mapinduzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015.
Picha na Sanga Festo Jr
0 comments:
Post a Comment