Home » » Mwekezaji afunga kiwanda,aondoka na funguo kwao India

Mwekezaji afunga kiwanda,aondoka na funguo kwao India

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwekezaji wa kiwanda cha kutengeneza nyuki Mkoani Tabora amefunga kiwanda hicho na kurudi makwao India.

Hayo yamebainishwa Bungeni na Mbunge wa Tabora Mjini Emmanueli Mwakasaka alipokuwa akichangia hotuba ya Rais Dkt.Magufuli katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.

''Mheshimiwa Naibu Spika nataka waziri anaehusika na viwanda tukimaliza Bunge tuambatane kwenda Tabora akajionee wawekezaji wa nchi hii,kule kwangu mwekezaji amefunga kiwanda cha nyuzi na kuondoka''

''Nimefanya ziara katika kiwanda kile nimekuta kimefungwa nikauliza ufunguo uko wapi haupo kuulizia mashine zinafanya kazi nikaambiwa mwekezaji aliuza kama vyuma chakavu''.Amesisitiza Mwakasaka.


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa