Home » » AJALI YA BASI LA NBS LEO MAJIRA YA ASUBUHI SAA KUMI LIKIELEKEA ARUSHA

AJALI YA BASI LA NBS LEO MAJIRA YA ASUBUHI SAA KUMI LIKIELEKEA ARUSHA



Leo majira ya saa 4.00 asbh kumetokea ajali mbaya ya basi la NBS linalotokea Tabora kwenda Arusha, basi hilo lilipasuka Taili la mbele na kugonga mti na kuung'oa na kisha kupinduka.
hadi sasa kuna maiti sita zilizowasilishwa Mortuary na Dereva wa gari hilo pia ni marehemu ila bado maiti yake haijatolewa kwani amebanwa hadi basi hilo likatwe ndiyo atolewe


3 comments:

Unknown said...

Jamani iyo ajali ni ya lin?

Unknown said...

jamani iyo ajari ni ya tarehe ngapi

Unknown said...

jamani ajari ya lini iyo

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa