Home » » MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA NZEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA KATA YA PUNGE

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA NZEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA KATA YA PUNGE

 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nzega Amos Kanuda akisiliza taarifa malimbali za maendeleo toka kwa viongozi wa chama na serikali kata ya Puge wilaya ya Nzega.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora,Amos Kanuda (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa chama na seerikali kata ya Puge,mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Puge.

Picha na Tabora yetu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa