Home » » Semina ya PSPF chuo cha Ualimu Tabora‏

Semina ya PSPF chuo cha Ualimu Tabora‏

 Wanachuo wa chuo cha ualimu mkoani Tabora,wakisikiliza mada kwenye simina iliyoendeshwa na PSPF hivi karibuni.
 Afisa Mfawidhi wa mfuko wa PSPF,Lupakisyo Mwaipungu,akitoa mada kwenye semina iliyofanyika chuo cha ualimu Tabora.
 Victor Luvena,akitoa mada kwenye semina iliyoendeshwa na mfuko wa PSPF ambayo ilifanyika chuo cha ualimu Tabora
 Victor Luvena,akitoa mada kwenye semina hiyo.
 Mmoja wa wanachuo cha ualimu mkoani Tabora,akiuliza swali kwenye semina hiyo.
Victor Luvena,akifafanua jambo kwa wanachuo wa chuo cha ualimu Tabora,mara baada ya semina hiyo kumalizika.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited : |
Copyright © 2012. Tabora Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za mikoa