Mh. Mussa Ntimizi, M/kiti wa CCM Tabora vijijini, akionge (Hapo chini) machache na wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Uyui mkoa ni Tabora katika kuupokea mwaka mpya wa 2014.



Kushoto ni Bw. Suleiman akiongea na wafanyakazi wa halmashauri ya Uyui waliofanta hafra fupi ya kuupokea mwaka kwa pamoja kama familia

wakicheza


Wakila chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa mlo wa pamoja wa wafanyakazi hao wa Halmashauri ya Uyui







Mshindi wa zawadi ya aliyekuwa anamaudhi kwa mwaka 2013



Mhasibu wa kamati hiyo akisoma mshindi wa kupendeza au kuvaa vizuri kwa mwaka 2013

Mshindi wa kupendeza kwa mwaka 2013
M/kiti wa kamati Bw. Shehondo akisoma jina la aliyependeza zaidi na kuuwakilisha mwaka 2014
Mwanadada aliyechaguliwa kuwa mshindi zaidi wa mwaka 2014


Bingwa wa maudhi kwa mwaka mzima ila kayafuta na kuanza mwaka kivingina

Shehondo kushoto na AmaTheMaker kulia wakipozi kwa picha

MC na mshereheshaji wa shughuli akigugumia bia bila kupumzika na chini ya sekunde 30 na kunyakua zawadi yake
(Picha: aloyson.com)
(Picha: aloyson.com)
0 comments:
Post a Comment