Na Hastin Liumba,Tabora
>Serikali yasema itakuwa nao bega kwa bega.
>Mkuu wa mkoa afagilia mipango yao.
ULIMWENGU unabadilika kwa kasi kubwa .Kwa hakika jamii yoyote ambayo
haijajiandaa kikamilifu kuendana na mabadiliko hayo kuna uwezekano wa
kuwa na jamii yenye kutegemea misaada.
Uchumi wa dunia unaonyesha kuwa nchi nyingi zilizoendelea zimeimarika
katika nyanja za kijamii,kisiasa na kiuchumi.
Nchi hizo zilizoendelea zinazweza kuamua nini zifanye kuhusiana na
uchumi na maendeleo yao.
Lakini unapozungumzia ukuaji wa uchumi wa nchi huwezi kuacha
kuzungumzia mchango mkubwa unaotolewa na taasisi za kibenki nchini
ambazo zimekuwa ni chachu mabadiliko ya uchumi wa nchi husika.
Kundi hili limekuwa likipata mikopo ya fedha kwa ajili ya kukuza
mitaji yao na kwa hakika limefanikiwa kwa kiwango kikubwa ukiondoa
changamoto zilizopo kama masharti ya mikopo na ikiwemo riba kubwa.
AccessBank Tanzania 'Njia Mpya ya Kibenki' na kwa kulingana na mipango
ya taasisi hiyo ni dhahiri ufunguzi wa tawi hili wakulima wa mkoa wa
Tabora itakuwa ni njia pekee ya kujikomboa.
Meneja wa benki AccessBank Tanzania tawi la Tabora Enos Ndobeji
alifanya mahojiano na mwandishi wa makala hii kuelezea sera za benki
hiyo na jinsi itakavyofanya kazi ze mkoani hapa.
"Kwa sasa naomba nielezee kwa kifupi kuhusu AccessBank Tanzania,
historia yake fupi, wamiliki, mafanikio yetu, huduma zetu na mradi
wetu wa Tabora na ukanda wote kwa ujumla".aliongeza.
Mtandao wa AccessBank Tanzania.
Ndobeji anafafanua kuwa AccessBank Tanzania (ABT) ni benki ya
kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2007 hapa nchini Tanzania ikilenga
kusaidia wajasiriamali wadogo na wa kati.
Meneja huyo anasema Wawekezaji wa AccessBank ni mashirika makubwa
matano (5) ulimwenguni ambayo yamejikita katika kusaidia wajasiriamali
wadogo wadogo.
Aidha Ndobeji anataja mashirika hayo ni AccessHolding (hawa ni
Wajerumani wenye hisa kubwa inayofikia 50), Benki ya Maendeleo ya
Afrika na (African Development Bank-ADB).
Ndobeji anataja mashirika mengine kuwa ni Benki ya Maendeleo ya
Kijerumani (German Development Bank-KFW), Kampuni ya Uwekezaji ya
Ubelgiji (BIO), Shirika la fedha la Kimataifa (International Finance
Corporation -IFC) kutoka Benki ya Dunia.
Anafafanua kuwa Benki yetu haipo Tanzania pekee bali ni mtandano
ulioenea katika nchi mbalimbali ikiwemo Azerbaijan,
Madagascar,Nigeria,Liberia,Tajikistan, Zambia na Rwanda.
Aidha meneja huyo anasema ABT ni benki iliyoamua kujikita na
kuwajibika kusaidia jamii ya Watanzania wenye kipato cha chini na cha
kati na pia imelenga kuwa benki kimbilio la Watanzania na
itakayoongoza katika kutoa huduma za kibenki nchini Tanzania.
Miaka 6 Tanzania, Wafanyakazi zaidi ya 600 na Matawi 10.
Ndebeji alisema ABT ni benki ambayo imeendelea kukua tangu kuanzishwa
kwake na kuwafikia wateja kwa kasi kubwa.
Mafanikio ya ABT nchini.
Alitaja baadhi mafanikio kadhaa ambayo ni hadi kufikia mwezi
machi,2014 benki ina jumla ya Matawi 10 ( 7 jijini Dar es salaam na 3
nje ya jiji la Dar es salaam).
Alisema kuwa ndani ya miaka 6 ya kihistoria benki imeweza kutoa mikopo
kwa wateja zaidi ya dola 85,000 yenye thamani ya zaidi ya tsh bilioni
za Kitanzania 325.
Ajira zinzotolea na AccesBank Tanzania.
Meneja Ndebeji anasema Benki imejiwekea utaratibu wa tofauti na
taasisi nyingi nchini ambapo huajiri vijana wanaomaliza vyuo bila
kujali uzoefu wao wa kazi ambapo huandaliwa kwa mafunzo maalum ili
kuwajenga katika mshikamano, utamaduni wa benki na weredi.
Aidha meneja huyo anaongeza kuwa benki inajivunia kuwa na jumla ya
wafanyakazi zaidi ya 600 tangu kufunguliwa tawi jipya la Tabora mwezi
Januari 15 2014 na kuwa moja kati ya benki zilizoajili wafanyakazi
wengi nchini.
ABT Kujikita zaidi Kwenye Utoaji wa Mikopo na huduma nyingine.
Akifafamua zaidi Ndebeji anasema moja kati ya faida za kiushindani
ambazo ABT inazo ambazo inawezekana zinajulikana na wengi ni namna
yake ya utoaji wa mikopo.
Alifafanua kuwa ABT inatoa mikopo ambayo inaanzia shilingi za
Kitanzania 100,000 mpaka zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni 900,
kimsingi benki inazingatia uchanganuzi wa uwezo wa kulipa wa mteja.
"Zoezi hili huchukua muda mfupi sana ndani ya siku mbili....mteja
anapewa mkopo bila kuzingatia historia yake ya uendeshaji wa akaunti
na benki yetu au benki nyingine yoyote ile".alisema.
Aliongeza kuwa Sanjari na hilo, benki pia ina wigo mpana wa utoaji wa
huduma zingine za kibenki kama vile; Akaunti ya Akiba (Savings
Account), Akaunti ya Hundi (Current Account), Akaunti ya Muda Maalum
(Fixed Term Deposits), Akaunti ya Malengo Maalum (Savings plan
account)
Aidha alisema huduma nyingine ni Akaunti ya Wanafunzi (Elimu account),
Akaunti ya wafanya biashara wakubwa (Access Advantage Account-AAA),
huduma za utumaji fedha ndani na nje ya nchi kwa njia za
(M-PESA,WESTERN UNION).
Aliendelea kutaja huduma nyingine kuwa ni huduma za uhamishaji na
utumaji wa pesa kutoka benki moja kwenda nyingine ndani na nje ya nchi
(TISS na SWIFT) ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya wafanya biashara
wadogo na wa kati zikiwa zenye gharama nafuu na utoaji wa huduma bora
kwa wateja.
Uhusiano na weledi.
Ndebeji aliongeza kuwa ABT inaamini katika kujenga uhusiano wa kudumu
wa kibiashara na wateja wake kwa kuzingatia uwajibikaji na weredi.
Alisema kwa kufanya hivyo benki inachochea tabia ya kujiwekea akiba,
kurahisisha malipo mbalimbali na huduma za akaunti na inawasaidia
wakopaji kujijengea historia nzuri ya ulipaji.
Aidha anafafanua kuwa Mteja pia anaweza kutoa pesa zake kwa kutumia
huduma ya ATM za UMOJA zilizoenea nchi nzima.
Hata hivyo meneja Ndebeji alipenda kuwashukuru sana wananchi wote wa
mkoa wa Tabora kwa mapokezi yao kwa huduma zetu tangu mwezi januari
15,2014 walipoanza kutoa huduma zao.
Anasema tangu muda huo wote mpaka leo hii tumeweza kutoa mikopo zaidi
ya dola 400 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 950 za
Kitanzania na tumefanikiwa pia kufungua akaunti zaidi ya 1,800. Hadi
sasa toka tumefungua tawi mkoa wa Tabora.
"Kwa hakika haya siyo mafanikio madogo......napenda kuwakaribisha kila
aliyepo mkoa wa Tabora wakiwemo viongozi wa serikali,taasisi na
mashirika ya umma kuwaunga mkono kwa kufungua akaunti katika tawi
hili."aliongeza.
Kwa nini Tabora? Tumelenga miradi gani?
Akizungumzia miradi na kwani wamefungua tawi mkoa humo, alisema Tabora
ni moja kati ya mikoa inayochipukia kwa kasi kimaendeleao na ni mkoa
unaounganisha mikoa mingine kutoka pande zote za nchi.
ABT kuendelea kufungua matawi mikoani.
Aidha meneja huyo alisema kwa kuzingatia azma ya benki ya kujipanua
kanda ya ziwa Victoria na magharibi mwa nchi na kwa kufungua tawi la
Tabora ABT inazidi kuwa benki ya kitaifa zaidi na miezi mitano ijayo
benki ina mpango wa kufungua tawi linguine jijini Mwanza mjini.
Alisema Benki itaendelea kujitanua nchi nzima ambapo katika mpango
wake wa miaka mitano ijayo, benki itafungua Matawi yasiyopungua 10 (
ikiwa ni wastani wa matawi mawili kila mwaka).
Aidha meneja huyo aliongeza Benki itaendelea kutumia upanuzi huu wa
kijiografia kubuni aina nyingine ya mikopo maalum kwa wakulima
vijijini na wafanya biashara ya mazao ya kilimo.
Ndebeji alisisitiza kuwa Benki itaanza kutoa mikopo ya kilimo katika
tawi la Tabora hadi kufikia mwezi Aprili 2014, pia Benki ina mpango wa
kuzindua huduma za kibenki kwa njia ya simu za kiganjani na mawakala
ndani ya mwaka huu 2014.
"Ni imani yetu kuwa mpango huu mpya utakuwa muhimu ili kuwafikia
wateja wapya na wale wa vijijini na hivyo kuungana na serikali katika
mpango wake wa kufikia asilimia 50 ya Watanzania wanaofikiwa na huduma
za kifedha ifikapo mwaka 2016." alisema.
Shukrani.
Alishukuru pia vyombo vya habari na mategemeo yetu juhudi za kutoa
huduma mpaka kwa wakulima vijijini zitaungwa mkono na Watendaji wa
mkoa, wadhibiti na mamlaka zingine, wajasiriamali, wakulima na zaidi
Watanzania wote wa kanda ya ziwa Victoria na magharibi.
Na Hastin Liumba,Tabora
HATIMAYE TAWI LA ACCESSBANK TANZANIA LAZINDULIWA TABORA.

Pix namba 12873 Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwassa wa tatu toka
kushoto akiwa na baadhi ya uongozi wa Accwssbank Tawi la Tabora mara
baada ya kuizundua.Picha na Hastin Liumba.
Pix namba12889 Meneja wa benki ya Accessbank tawi la Tabora, Enos
Ndebeji katikakati,afisa mtendaji mkuu msaidizi Emmanuel Venance wa
kwanza kushoto na afisa mkuu masoko Muganyizi Bisheko kulia.

0 comments:
Post a Comment