Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Tabora mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika stendi ya mabasi ya zamani ambapo aliwaambia wananchi hao lazima watendaji wa serikali wawajibike na kama hawawezi basi wawajibishwe ili uwajibikaji uwe tija kwa kuleta maendeleo ya nchi .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Tabora mjini na kuwaambia kuwa CCM itaendelea kuwepo Madarakani kwani ndio chama pekee kinachozungumzia maendeleo ya Tanzania na kuwajali wananchi wake.
Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)akihutubia wakazi wa Tabora kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kumpa pongezi kwa kazi nzuri anayofanya ya kujenga na kuimarisha chama.
Mbunge wa Jimbo la Sikonge Ndugu Said Mkumba akihutubia wakazi wa Tabora mjini na kutaka sheria zianze kufuatwa kwa viongozi wa siasa kutojishirikisha na vyama vya ushirika.
Mbunge wa Viti Maalum Ndugu Ummy Mwalimu akiwasalimu wakazi wa Tabora mjini na kuwaambia wakina Mama wa Tabora umuhimu wa kujiendeleza katika kuleta maendeleo na umuhimu pia wa Muungano wetu kati Tanzania Bara na Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo Mtera Joseph Lusinde akiwahutubia wakazi wa Tabora kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofanyika kwenye stendi ya mabasi ya zamani ambapo aliwaambia wana CCm tusioneane aibu kama mtu amekosea achukuliwe hatua mara moja .
Matukio yakienda live kwa kupitia simu.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Amos Makalla (Mb) akihutubia wakazi wa Tabora ambapo aliwaeleza mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu ya kutatua matatizo ya maji mkoani hapo.
Mmoja wa Wazee waasisi wa CCM Tabora akipiga picha ya ukumbusho kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye stendi ya mabasi ya zamani.
Mbunge wa Urambo Mhe. Samuel Sitta akiwasalimia wakazi wa Tabora mjini kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kuwasili kwenye uwanja wa mkutano stendi ya mabasi ya zamani,Tabora mjini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na viongozi wengine wa CCM wakitembea kuelekea eneo la mkutano baada ya kula chakula cha mchana kwa wakina mama lishe wa stendi mpya ya mabasi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akila chakula kwa Mama Lishe wa stendi mpya ya mabasi Tabora pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatma Mwassa kabla ya kuelekea kwenye mkutano wa hadhara kwenye stendi ya mabasi ya zamani ,Tabora mjini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akila chakula cha Mama lishe wa Tabora mjini stendi mpya ya mabasi kabla ya kwenda kwenye mkutano wa hadhara,kulia kwake ni Mbunge wa Viti Maalum Munde Tambwe na Mbunge wa Tabora mjini Ndugu Ismail Aden Rage.

0 comments:
Post a Comment